FIFA yaipiga rungu Sofapaka FC

FIFA imeiadhibu Sofapaka FC ya Kenya kutofanya usajili wa wachezaji wakimataifa na kuliomba shirikisho la soka la Kenya ‘FKF’ kuizuia timu hiyo kufanya usajili kwa wachezaji wa ndani kwa kushindwa kulipa madeni wanayodaiwa na mchezaji wao wa zamani.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS