Pele arudishwa tena Hospitali Brazil

(Gwiji wa Brazil, Pele)

Gwiji wa soka nchini Brazil, Pele mwenye umri wa miaka 81, usiku wa kuamkia leo alirudishwa kwenye hospitali ya Albert Einstein iliyopo Sao Paulo nchini Brazil kuendelea kupatiwa matibabu ya haraka baada ya kuzidiwa.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS