Kanye West kurithi mikoba ya Abloh Louis Vuitton Picha ya Kanye West na Virgil Abloh Mwanamziki Kanye West anapigiwa chapuo kurithi nafasi ya marehemu Virgil Abloh ya kuwa mbunifu mkuu wa mavazi ya kiume katika kampuni ya mavazi ya Louis Vuitton. Read more about Kanye West kurithi mikoba ya Abloh Louis Vuitton