Spurs na Leicester 23 wana Covid-19
Vilabu vya Tottenham Hotspurs na Leicester City vimekumbwa na janga la Covid-19 baada ya wachezaji na wafanyakazi wake 20 kukutwa na maambukizi ya ugonjwa huo kufuatiwa na ripoti iliyotolewa usiku wa jana leo nchini England.