Mwamuzi Mtanzania aanza kuchezesha soka England (Mwamuzi Mtanzania, Erickson Temu anayechezesha nchini England) Mtanzania Ericson Temu amekuwa mwamuzi wa kwanza kutoka nchini Tanzania kuchezesha mchezo wa soka nchini England. Read more about Mwamuzi Mtanzania aanza kuchezesha soka England