Nataka kushinda medali 6 mwaka 2022- Kipchoge Mwanariadha Eliud Kipchoge Mwanariadha kutoka nchini Kenya Eliud Kipchoge ameweka dhamira ya kushinda mbio sita za marathon kwa mwaka 2022 huku akitarajiwa kushiriki kwenye mbio za marathoni za Tokyo nchini Japan mnamo march 6 . Read more about Nataka kushinda medali 6 mwaka 2022- Kipchoge