CAS waondoa pingamizi kwa nyota Kamila Valieva

(Kamila Valiela akiwa dimbani)

Mahakama ya usuluhishi ya michezo (CAS) imetoa ruhusa kwa nyota  kutoka nchini Urusi, Kamila Valieva kuendelea kushiriki kwenye michezo ya baridi ya Olympiki 2022 inayoendelea mjini Beijing nchini China licha ya kushindwa kwenye vipimo vya afya alivyochukuliwa mnamo december 25, 2021.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS