KMC yaingia chimbo kuelekea mechi ya Geita Gold
Kikosi cha Kinondoni Municipal Council FC, kimeanza rasmi maandalizi kuelekea katika mchezo mwingine wa Ligi Kuu ya NBC soka Tanzania Bara dhidi ya Geita utakaopigwa siku ya Jumapili ya Disemba 5 katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.