Ruvu Shooting kuamua hatma ya Morocco na Kaaya

Hemed Morocco

Namungo FC kupitia Kamati ya Utendaji imefikia makubaliano ya kuwapa mtihani wa mwisho Kocha Mkuu Hemed Suleiman maarafu kama Morocco na Afisa Mtendaji Mkuu wa Omary Kaaya, baada ya kikosi cha klabu hiyo kufanya vibaya kwenye michezo ya Ligi Kuu ya hivi karibuni.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS