Waliosambaza nyaraka za serikali kutafutwa

Mkuu wa wilaya ya Muleba mkoani Kagera, Toba Nguvilla,

Mkuu wa wilaya ya Muleba mkoani Kagera, Toba Nguvilla, amemwagiza mkuu wa polisi wilayani humo kufanya uchunguzi wa kubaini waliohusika kusambaza mitandaoni barua ya kuhamisha fedha shilingi mililioni 470 kutoka akaunti ya shule ya sekondari Ikondo kwenda shule ya sekondari Karambi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS