Sababu za Pochettino kushindwa kujiunga Man Utd
Chombo cha Habari ‘Telefot’ cha nchini England kimetoa taarifa za kikachero kwa kueleza sababu za kwanini Mauriccio Pochettino alishindwa kujiunga na Manchester United kuchukua mikoba ya Ole Gunnar Solskjear mwezi uiopita.