WIDA kupigwa rasmi, Simba SC kufa na kupona

Simba wanahitaji ushindi wowote wa tofauti ya mabao kuanzia 2 ili kujihakikishia nafasi ya kutinga hatua ya makundi.

Mabingwa wa Tanzania bara na wawakilishi wa Tanzania katika michuano ya klabu bingwa Afrika Simba SC, wanakibarua jioni ya leo cha kupindua matokeo ya bao 1-0 dhidi ya FC Platinum ili kujihakikishia nafasi ya kucheza hatua ya makundi ya michuano hiyo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS