Rose Ndauka adaiwa mapacha wawili na mumewe Rose Ndauka, Mumewe Haffiyy na mtoto wao Mume wa msanii wa filamu Rose Ndauka, Haffiyy Mkongwa amesema bado anamdai mkewe huyo watoto wengine wawili tena atafurahi kama ikiwezekana wawe mapacha ili waweze kumaliza kwa haraka. Read more about Rose Ndauka adaiwa mapacha wawili na mumewe