Majeruhi wa treni waruhusiwa 

Moja ya behewa la Treni lililopata ajali mkoani Dodoma

Majeruhi 66 waliopata ajali ya Treni iliyotokea Januari 2, 2021, mkoani Dodoma, na kuanza kupatiwa matibabu katika hospitali ya rufaa ya mkoa wa huo, wameruhusiwa kutoka hospitalini hapo baada ya hali zao kuimarika.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS