Shamsa kupungua kilo 25 kwa ajili ya mpenzi wake
Ni 'headlines' za staa wa filamu na mfanyabiashara Shamsa Ford ambaye amesema mipango yake ya mwaka huu 2021 ni kuwa na muonekano mpya ambapo amepanga kupunguza mwili ili mpenzi wake asije kumuona shangazi.