Mapya yaibuka kuhusu mbunge pekee wa CHADEMA
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, amesema kuwa mbunge pekee wa jimbo la Nkasi Kaskazini, Aida Khenani, aliyeshinda katika uchaguzi mkuu alikula kiapo cha nafasi hiyo kinyume na msimamo wa chama chake.