Mwambieni Rais wa China atusamehe- Rais Magufuli
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ameshuhudia Utiliaji Wa Saini Wa Mkataba Wa Ujenzi Wa Reli Ya Kisasa SGR Kutoka Mwanza Kuelekea Isaka,huku akiomba China kusamehe madeni yanayoidai Tanzania likiwemo deni walilolibeba wakati wa ujenzi wa reli ya TAZARA