Magufuli ateua Mwanasheria Mkuu wa Serikali Rais Dkt. John Pombe Magufuli Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Prof. Adelardus Lubango Kilangi kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Read more about Magufuli ateua Mwanasheria Mkuu wa Serikali