Hizi ndizo ahadi za Magufuli baada ya kuapishwa
Rais John Magufuli baada ya kuapishwa leo tarehe 5 Novemba katika Viwanja vya Jamhuri, Jijini Dodoma amepata wasaa wa kuzungumza na halaiki katika hafla hiyo ambapo hotuba yake imejikita katika masuala mbalimbali kama ajira, miradi ya maendeleo pamoja na usimamiaji thabiti wa rasimali.