''Samatta hakupewa huduma Aston Villa'' -Mark

Mbwana Ally Samatta akishangilia moja ya goli aliyofunga akiwa na Aston Villa

Shabiki wa kutupwa wa klabu ya soka ya Aston Villa, Bwana Mark amesema Mbwana Ally Samatta alikuwa mchezaji mzuri sana, nao kama mashabiki walimpenda sana.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS