Maamuzi ya Bodi ya ligi mechi ya Simba na Yanga

Mtendaji mkuu wa TPLB, Almas Kasongo (Katikati), na Mkurugenzi wa Michezo kutoka Wizarani Yusuph Singo(Wa kwanza kulia) wakizungumza na Waandishi wa Habari.

Mtendaji mkuu wa bodi ya ligi Almas Kasongo ametangaza kuwa kuelekea mchezo wa watani wa jadi kati ya Simba na Yanga wamejipanga kutumia waamuzi sita watakaochezesha mchezo huo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS