Mwinyi Zahera kuhusu watakavyoikabili Yanga
Kocha wa zamani wa Yanga, Mwinyi Zahera ambaye kwa sasa ni Mkurugenzi wa ufundi wa Gwambina amesema licha ya kuwa aliwahi kufanya kazi kwa wanajangwani hao haitoshi kuwafanya washinde kirahisi katika mchezo wa leo.