Hali halisi kuhusu afya ya Diego Maradona

Nyota wa zamani wa Argentina, Diego Maradona .

Gwiji wa zamani wa mpira wa miguu Duniani, Diego Maradona amefanyiwa upasuaji mzuri wa ubongo hapo jana na hali yake kwasasa inaendelea vizuri.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS