Mambo makuu aliyoyaona Afande Sele kuhusu Wajumbe

msanii Afande Sele

Msanii wa muda mrefu kwenye kiwanda cha muziki Bongo Selemani Msindi maarufu kama Afande Sele amesema kwenye mchakato wa uchaguzi mwaka huu amejifunza kuwa wajumbe hawaangalii sura,pesa au umaarufu wa ili kumpitisha kwenye uongozi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS