Mgombea aeleza sababu ya kumnunulia Magufuli keki

Kushoto ni mgombea ubunge wa jimbo la Ubungo, Profesa Kitila Mkumbo, na kulia ni mgombea Urais Dkt John Pombe Magufuli.

Mgombea ubunge wa jimbo la Ubungo kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Profesa Kitila Mkumbo, amesema kuwa mara baada ya kupiga kura, ataenda Mlimani City kumnunulia mgombea Urais wa chama hicho Dkt. John Magufuli, keki ya 'birthday', kwa lengo la kumtakia heri na mafanikio.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS