Mfumo wa E-visa wa Somalia washambuliwa
Tangazo hilo limekuja baada ya maonyo kutoka kwa Marekani na Uingereza, ambayo ilisema kwamba mashambulizi ya mtandaoni huenda yaliathiri data kutoka kwa waombaji zaidi ya 35,000, ikiwa ni pamoja na raia wa kigeni na raia wa Marekani.

