Jux tuhuma za kuiba wimbo wa Meja Kunta Pichani Jux,Meja Kunta na D Voice Msanii wa muziki wa singeli Tanzania ametupa lawama za kuibiwa wimbo na msanii D voice ambapo kwa mujibu wake ni kuwa D voice ameuvujisha wimbo huo kwa Jux baada ya Meja kumsikilizisha kama mdogo wake. Read more about Jux tuhuma za kuiba wimbo wa Meja Kunta