Chino Kidd kuwa mkubwa chini ya Marioo

Pichani Marioo Na Chino Kidd

Msanii Chino Kidd amefunguka kuwa bado yupo chini ya mwamvuli wa Bad Nation yake msanii Marioo na kusema kuwa kuwa chini yake haimaanishi kunamfanya kuwa msanii mdogo au mkubwa kwasababu kinachofanya msanii kuwa mkubwa ni kazi na sio mwamvuli

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS