Aliyekuwa mtangazaji maarufu Ssebo afariki dunia Mkurugenzi Wa Uendeshaji Na Biashara wa EFM TV E Bwana Denis Busulwa ( Ssebo ) amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika hospital ya Taifa Muhimbili alipokuwa akipatiwa matibabu. Read more about Aliyekuwa mtangazaji maarufu Ssebo afariki dunia