Linah ataja aina ya mwanaume anayemtamani kuwa nae

Msanii wa Bongo Fleva Linah Sanga maarufu kama 'Ndege Mnana' amekuwa miongoni mwa wanawake wachache wanaovutiwa kimahaba na wanaume wenye rangi ya ngozi nyeusi tofauti na wengine wanavyochagua watu wa kuwa nao katika mahusiano ya kimapenzi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS