NEC yamjibu Mbowe, yamtaka akasome
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imefunguka na kudai malalamiko yaliyotolewa jana (Jumanne) na Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe sio ya kweli bali yamejaa upotoshaji wa hali juu ambao haupaswi kufanywa na kiongozi kama yeye.

