TFF yasikia kilio cha Yanga Shirikisho la soka nchini TFF kupitia bodi ya ligi, imesogeza mbele mchezo wa ligi kuu kati ya wenyeji Mtibwa Sugar dhidi ya Yanga SC ambao awali ulipangwa kuchezwa Machi 3 kwenye uwanja wa Jamhuri Morogoro. Read more about TFF yasikia kilio cha Yanga