Msanii afunguka kusumbuliwa na Ruby Msanii Dashie ambaye ameachia kazi yake mpya hivi karibuni na msanii Ruby, ameweka wazi madai ya kusumbuliwa na msanii huyo wakati wa kufanya video ya wimbo wa 'Mputa'. Read more about Msanii afunguka kusumbuliwa na Ruby