''Messi sio mchezaji wa dunia hii'' - Hazard Nyota wa Chelsea Eden Hazard amesema Chelsea inaweza kuiondoa Barcelona kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa barani Ulaya ila tatizo ni moja tu, Barcelona ina mchezaji wa dunia nyingine. Read more about ''Messi sio mchezaji wa dunia hii'' - Hazard