Waziri Mkuu afafanua juu ya elimu bure

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema kitendo cha watoto kurudishwa nyumbani kwa sababu ya mzazi au mlezi kuto changia michango shuleni ni kinyume na maelekezo ya serikali.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS