Mwakyembe amteua Rais wa zamani wa TFF Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe amemteua Rais wa zamani wa Shirikisho la soka nchini TFF Leodger Chilla Tenga kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Michezo Tanzania (BMT). Read more about Mwakyembe amteua Rais wa zamani wa TFF