Ronadlo akiwa amekumbatina na rafiki yake Alberto baada ya mechi.
Christian Ronaldo ana rafiki yake wa karibu sana wa kitambo hicho anaitwa Alberto Fantrau. Huyu jamaa enzi hizo walikuwa wanacheza timu moja ya vijana na walikuwa washkaji sana tangu utotoni.