Nyota wa Singida United arejea Klabu ya soka ya Singida United imethibitisha kurejea kwa nyota wake Dany Usengimana ambaye alikuwa nje ya uwanja kutokana na kuumia katika moja ya mechi za ligi kuu hivi karibuni. Read more about Nyota wa Singida United arejea