Wenger kuhudhuria kuapishwa kwa Weah ? Rais mteule wa Liberia, George Oppong Weah amemtumia mwaliko kocha wa Arsenal, Arsene Wenger kuhudhuria tukio la kuapishwa kwake kama Rais mpya wa nchi hiyo. Read more about Wenger kuhudhuria kuapishwa kwa Weah ?