Yanga yatoa fursa kwa Watanzania Mabingwa watetezi wa ligi kuu soka Tanzania bara Yanga SC, imetangaza fursa kwa vijana wenye vipaji vya soka kufanya usaili kwaajili ya kusajiliwa na timu hiyo. Read more about Yanga yatoa fursa kwa Watanzania