Tausi afungukia kuhusu kutoa mimba Msanii wa filamu nchini Tanzania na kipenzi cha watoto, Tausi Mdegela amefunguka na kudai hajawahi kutoa ujauzito wowote mpaka sasa wala kushika mimba japokuwa anatamani siku moja na yeye kuwa na familia yake. Read more about Tausi afungukia kuhusu kutoa mimba