Ronaldo De Lima awabeza Cristiano na Messi
Nyota wa zamani wa Real Madrid, Barcelona na timu ya taifa ya Brazil Ronaldo Luís Nazário de Lima amesema Cristiano Ronaldo na Lionel Messi wamefanikiwa kutwaa tuzo za mchezaji bora mara nyingi kutokana na kukosa ushindani.