Halima Mdee awasisitizia watanzania haya 2018 Mbunge wa Kawe, Halima James Mdee amewataka watanzania kutumia mwaka mpya wa 2018 kutafakari kwa kina mwelekeo wa Tanzania na kuchukua hatua pale panapohitaji kurekebishwa. Read more about Halima Mdee awasisitizia watanzania haya 2018