Watanzania waonywa juu ya vitambulisho 

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Dk. Mwigulu Nchemba amewataka wananchi wa Tanzania kujiandikisha kupata kitambulisho cha Taifa kwani si zoezi la hiari na kwamba ni lazima kwa mtanzania aliyeko ndani ya mipaka ya nchi ili kutambuliwa.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS