Aliyepelekwa kuuzwa India atoa siri
Msanii wa muziki na filamu Suzan Michael maarufu kama 'Pretty Kind', ambaye alishawahi kupelekwa nchini India na marafiki na kwenda kufanyishwa biashara ya ngongo, atoa siri ya watu wengi waliopo huko na hofu yao ya kurudi nyumbani.