Jeshi la polisi lamzungumzia Kakobe

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum jijini Dar es salaam Lazaro Mambosasa, amefafanua taarifa za kumtafuta Mchungaji wa kanisa la Full Gospel Felloweship Zachary Kakobe, na kusema kwamba jeshi la polisi hawana 'issue' naye.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS