Mali za CCM zaanza kuchunguzwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM, Dkt.John Pombe Magufuli leo kwa mara ya kwanza amekutana na kamati aliyoiteua kwa ajili ya kuhakiki mali za chama hicho. Read more about Mali za CCM zaanza kuchunguzwa