Mitandao yamponza Ole -Sendeka, Bunge lamuwakia Spika wa Bunge Job Ndugai ameiagiza Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge kujadili na kuchunguza kauli ya Mkuu wa Mkoa wa Njombe Christopher Ole Sendeka inayodaiwa kudhalilisha bunge. Read more about Mitandao yamponza Ole -Sendeka, Bunge lamuwakia