"Wananchi wanapenda kuilaumu serikali" - Hapi
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es salaam, Ally Hapi amewataka wananchi waliojenga nyumba za na kuta katika maeneo ya mapitio ya maji kubomoa mara moja kabla manispaa haijabeba jukumu hilo litakalowagharimu.