Naibu Waziri Mkuu afukuzwa kazi Naibu wa Waziri Mkuu wa Uingereza, Damian Green, amefukuzwa kazi baada ya kubainika kuwa alikiuka kanuni za uwaziri kwa kutoa taarifa za uongo kuhusu picha za ngono zilizokutwa kwenye kompyuta yake. Read more about Naibu Waziri Mkuu afukuzwa kazi